TEGETA SDA

TEGETA SDA

MIALI YA INJILI KATIKA PICHA

kugawa kitabu cha Tumani Kuu, imekuwa ni mbaraka kwa watu wengi, wengi wamebatizwa kwa sababu wamekisoma kitabu hiki. changia mpango huu, ili ubarikiwe na wengi wabarikiwe zaidi
 wengi wamempokea Yesu kuwa BWANA na mwokozi wao, wanatoa viapo vyao kwa Mungu na mbele ya kanisa, Karibuni, katika, jumuia ya watu wa Mungu
Kwaya ya kanisa wakimtukuza Mungu, na kuendeleza sifa na shukrani kwa Mungu.

No comments

Powered by Blogger.