MATANGAZO YA SABATO YA TAREHE 04/05/2013
1.
Tunamshukuru sana Mungu kwa kutulinda kwa wiki nzima hadi Sabato ya leo. Tunawakaribisha
wageni kwa wenyeji katika Ibada ya leo.
2. Makambi
ya mtaa yanaanza 21-27/07/2013; tutoe michango yetu (50,000/) kwa njia ya
bahasha, muda unaisha., na kupitia vikosi vyetu vya S.S, waalimu sisitizeni
hilo.
3 LEO ni Sabato maalum kuchangia ujenzi wa nyumba ya mchungaji, Goli
letu ni kukusanya fedha si chini ya Milioni Ishirini (Tshs 20,000,000/=). Kanisa
letu Goli letu ni 8,800,000/ tushiriki katika jukumu hili takatifu kwa
ukamilifu.
4. Kesho j.pili
05/05/13 kutakuwa na semina ya Uwakili na majengo .semina itaendeshwa na
mch.T.Kusaga toka ETC.Muda saa 2.00-8.00.Wahusika:- Viongozi wa uwakili,Majengo,wakaguzi
wa mali ya Bwana,wahazini,wazee wa kanisa,na washiriki wote wanakaribiswa pia. Kula
breakfast ya nguvu au njoo na kipoaza njaa
5. Sadaka maalum ya kusaidia uanzishwaji wa Runinga
(TV) ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania, Inaendelea kukusanywa
tunahimizwa kila mtu achangie angalau Sh. 10,000/- goli la kanisa letu ni Sh.
3,300,000/-,bado hatujalifikia. Runinga itazinduliwa Juni, 2013.
6. Sensa ya washiriki inaendelea
katika Tanzania Union.kila mshiriki hakikisha kuwa kama ushirika wako haupo
katika kanisa unalosali,wasiliana na karani wa kanisa ili kuagiza ushirika
wako,vinginevyo baada ya miezi 3,washiriki wasiojulikana wataondolewa katika
vitabu vya Ushirika
7. Tunawakumbusha washiriki kuendelea kutimiza ahasi zenu kwa kuchangia ununuzi wa vitabu
vya “Tumaini Kuu” Lengo ni kununua vitabu 610,000 na zaidi katika awamu hii. Kila
kitabu ni 2000/ tu
8. Maombi ya Jumatano asubuhi yanaendelea saa 11:00
asubuhi, na jioni tunawaalika wote kushiriki
9. Mzee wa kanisa na Mchungaji msaidizi; Mzee Damba Omara, atakuwa likizo ya
kikazi, na kwa wiki mbili, kuanzia jumapili atakuwa safarini Mwanza na Musoma. Tumuombee.
10. Kupitisha majina ya wanakwaya, walioomba
kuimba 2013. (karani Anania Masasi)
11. Uhamisho: (Mara
ya 2 na kupitishwa)
-
Fridson Mkama (554) toka Tegeta
kwenda Salasala, DSM
-
Anastanzia Mkama (70) toka Tegeta
kwenda Salasala, DSM
-
Paschal Mabula (984) toka Tegeta
kwenda Makoko, Musoma
12. Tanzia:
-
Mchungaji J.R.Nyaibago alifiwa na
shemeji yake, amerudi kutoka Musoma
tuikumbuke familia yake katika
maombi na tuwatembelee
-
Jirani yetu na kanisa, pia mshiriki
wa Muheza SDA Church, Tanga, kafiwa na
baba mkwe, amesafiri (ijumaa), kwa mazishi, atarudi jumatatu, tumuombee na
kumtembelea.
13. Zamu:
-
Mzee wa zamu: Mzee Richard
Barikesha
-
Shemasi mkuu wa zamu: Rafiki Msuya
-
Mashemasi wa Zamu (Someni Ubaoni
zamu zenu)
-
Mpiga Kinanda wa zamu: Faraji
Nyizigie
14.
Utaratibu wa Sabato ya leo—Tarehe 04.05.2013
TUKIO
|
WAKUBWA
|
WATOTO
|
Mhubiri
|
MCH. TOTO KUSAGA (ETC)
|
NDG JOSEPH KALEB
|
Mwenyekiti
|
MZEE AMONI MZAVA
|
|
Utambulisho
|
MCH. J. R. NYAIBAGO
|
|
Fungu Kuu na
Ombi
|
DR. D. TIBUHWA
|
|
Taarifa/Majengo/Mtaa
|
NDG. ALEX MAFURU
|
|
Sadaka &
zaka
|
NDG. FREDRICK
SYLEVESTER
|
|
Ombi la Mwisho
|
MZEE S.I.M. KAPAYA
|
|
Matangazo
|
MZEE DAMBA OMARA
|
|
Kufunga Sabato
|
NDG. GEOFREY MPEMBENI
|
15.
Utaratibu wa Sabato ijayo—Tarehe 11.05.2013
TUKIO
|
TEGETA
|
WATOTO
|
Mhubiri
|
MZEE JOSEPH MSUYA
|
S.I.M.KAPAYA
|
Mwenyekiti
|
NDG. ANANIA MASASI
|
|
Ombi na Fungu Kuu
|
NDG. BAMBINO P. NYAMBITA
|
|
Sadaka/Zaka
|
MZEE R. BARIKESHA
|
|
Maombi J5 (Jioni)
|
MZEE R.BARIKESHA
|
|
Maombi J5 (Asubuhi)
|
MZEE R.BARIKESHA
|
|
Kufungua Sabato
|
NDG. GEOFREY MPEMBENI
|
Post a Comment