TANGAZO:
KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO TEGETA
IDARA YA MAWASILIANO
TANGAZO:
Kwa: Kanisa/Washiriki
Kutokana na semina ya mawasiliano ya ECD iliyofanyika Rombo Green View, Kanisa
letu kupitia idara ya mawasiliano, tumefungua mitandao ya jamii kwa ajili ya
kuwasiliana na kudumisha ufanisi katika kazi ya Bwana wetu;
1.
twitter.com/tegetasdachurch
2.
facebook.com/tegeta.sdachurch
3.
tegetasdachurch.blogspot.com
Tunawapongeza na
kuwashukuru wale wote ambao wameshatufikia kupitia mitandao hii na kuanza kutoa
maoni yao na kuwasiliana, karibuni wote., pia tupo katika mchakato wa kuandaa
tovuti (website) ya kanisa.
Kutoka: IDARA YA MAWASILIANO
Post a Comment