MATANGAZO YA KANISA YA SABATO YA TAREHE 18/05/2013
1. Tunamshukuru sana Mungu kwa kutulinda kwa wiki nzima hadi
Sabato ya leo. Tunawakaribisha wageni kwa wenyeji katika Ibada ya leo.
2. Makambi ya mtaa yanaanza 21-27/07/2013;
tutoe michango yetu (50,000/) kwa njia ya bahasha, muda unaisha., na kupitia
vikosi vyetu vya S.S, waalimu sisitizeni hilo.
3 Tunawashukuru washiriki kwa kutoa ahadi zenu kwa Mungu
kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya mchungaji. Tunawasihi muendelee kutimiza ahadi
zenu kama mlivyoahidi, ili ujenzi uendelee. Tumia bahasha kuwasilisha michango
hiyo kwa kuanduka majengo mtaa, au onana na mhazini kutoa mchango wako.
4. Sadaka maalum ya kusaidia uanzishwaji
wa Runinga (TV) ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania, Inaendelea
kukusanywa tunahimizwa kila mtu achangie angalau Sh. 10,000/- goli la kanisa
letu ni Sh. 3,300,000/-,bado hatujalifikia. Runinga itazinduliwa Juni, 2013.
5. Tunawakumbusha
washiriki kuendelea kutimiza ahadi zenu
kwa kuchangia ununuzi wa vitabu vya “Tumaini Kuu” Lengo ni kununua vitabu
610,000 na zaidi katika awamu hii. Kila kitabu ni 2000/ tu
6. Sensa ya washiriki inaendelea katika Tanzania
Union.kila mshiriki hakikisha kuwa kama ushirika wako haupo katika kanisa
unalosali,wasiliana na karani wa kanisa ili kuagiza ushirika wako,vinginevyo
baada ya miezi 3,washiriki wasiojulikana wataondolewa katika vitabu vya
Ushirika
7. Kutakuwa na ubatizo mkuu wa robo ya pili, tarehe
01/06/013. Wale wote ambao mutahitaji ubatizo tunawasihi muonane na wazee wa
kanisa, leo mchna kwa ajili ya kupewa maelekezo.
8. Kongresi ya wasichana, umri wa
miaka 15 na kuendelea, itafanyika Morogoro, Kitungwa Sekondari, tarehe 18-22/06/2013;
Gharama ni kiingilio 5,000/, malazi 5,000/ na nauli ya kwenda Morogoro na
kurudi, Chakula Konferensi itagharimikia; wasichana wote wanahamasishwa
kuhudhuria, onaneni na uongozi wa kanisa kwa maelekezo zaidi.
9. Tutakuwa
na baraza la kanisa la kawaida, kesho, tarehe 19/05/2013, kuanzia saa 1 asubuhi
hadi saa 7 mchana, tunawasihi wakuu wa idara muje na taarifa zenu za kazi za
mwezi, ni muhimu sana.
10. Tutakuwa na
baraza la mtaa 02/06/2013 Litakalokutana Tegeta kanisani muda ni saa 3.00
kamili.Tafadhali tujipange kuhudhuria na taarifa zetu mbali mbali hasa za
makambi na uinjilisti.
10. Juma la maombi ya ECD Litaanza Mei 25-June
1.Katika makanisa yote ya. Bado hatujapata masomo ya juma hilo, yakifika
tutawajulisheni. Tujiandae kushiriki mibaraka mikubwa iliyo mbele yetu.
11. Kutakuwa na kambi la uwakili katika kanda zote za Dar es
Salaam litakalofanyikia Temeke kuanzia 09-16/2013.Wahiriki wa kambi hilo ni
Wachungaji,Wazee wa kanisa, Viongozi wa uwakili, Majengo, Wahazini wa
makanisa.Tujipange kuhudhuria kambi hilo ni muhimu, litasimamiwa na viongozi wa
Divisheni, Unioni na Konferensi
12. Leo ni sabato ya kuchangia effort ya
idara ya afya na kiasi inayoanza wiki ijayo jumamosi kwa muda wa juma moja.
tunawasihi ndg washiriki tutoe kwa mioyo
yenye ukarimu na kusudio ili tuifanye kazi ya bwana. kwa
wale ambao mmekwisha kutoa chochote kwa ajili ya effort hii si vibaya
tukajumuika tena kuongezea
maana goal letu bado halijatimia .tunatafuta sh
3,575,000/=.Mungu awabariki.
13. Maombi ya
Jumatano na Jumapili asubuhi yanaendelea saa 11:00 asubuhi, na Jumatano jioni
saa 11:00; tunawaalika wote kushiriki
14. Zamu:
-
Mzee wa zamu: Mzee S.I.M. Kapaya
-
Shemasi mkuu wa zamu: Mama Rafiki Msuya
-
Mashemasi wa Zamu:[ubaoni]
15. Tanzia:
-- Familia ya
mzee wa kanisa Eraga Mjuli, wamefiwa na baba mdogo wa mzee Eraga Mjuli, mzee
Eraga kasafiri kwenda Mwanza kwa maziko, tuwaombee na kuwafariji.
-- Familia ya
mzee Mauma wamefiwa na mtoto wa ndugu yake mzee Mauma, wamesafirisha kwenda
Musoma kwa maziko, tuwaombee na kuwafariji.
16. Utaratibu wa
Sabato ya leo—Tarehe 18.05.2013
TUKIO
|
TEGETA
|
WATOTO
|
Mhubiri
|
MWJ.
MOFATI
|
MAMA
RAHABU MORRO
|
Mwenyekiti
|
MZEE
R. BARIKESHA
|
|
Fungu Kuu na Ombi
|
NDG.
E.LIA KENANI
|
|
Sadaka & zaka
|
NDG.
DAUDI KUBOJA
|
|
Kufunga Sabato
|
NDG.
ADAM MSAKU
|
17. Utaratibu wa
Sabato ijayo—Tarehe 25.05.2013
TUKIO
|
TEGETA
|
WATOTO
|
Mhubiri
|
MWJ
MALEMA
|
MAMA
MAINGU JANDWA
|
Mwenyekiti
|
MZEE
S.I.M. KAPAYA
|
|
Ombi na Fungu
Kuu
|
MZEE
B.I.MORRO
|
|
Sadaka/Zaka
|
NDG
ANANIA MNDEME
|
|
Maombi J5
(Jioni)
|
MZEE
JOSEPH MSUYA
|
|
Maombi J5
(Asubuhi)
|
MZEE
JOSEPH MSUYA
|
|
Kufungua
Sabato
|
NDG.
G. MPEMBENI
|
18. Ratiba Fupi
ya Mchungaji ni kama ifuatavyo:
MWEZI
|
TAREHE
|
SEHEMU HUSIKA
|
TUKIO
|
|
12
|
Madala
|
Baraza la kanisa
|
Mei
|
14-18
|
Mbweni
|
Uamsho
|
|
24-31
|
Boko
|
Uamsho
|
Juni
|
01-08
|
Tegeta
|
Uamsho
|
|
09-16
|
Temeke
|
Kambi la uwakili
|
|
18-22
|
Kisanga
|
Uamsho
|
|
25-30
|
Bunju
|
Uamsho
|
19. Ratiba ya Mabaraza ya Uhai ya Kila Robo-II
KANISA HUSIKA
|
BARAZA LA KANISA
|
BARAZA LA MASHAURI YA KANISA
|
||
TAREHE
|
MUDA
|
TAREHE
|
MUDA
|
|
BOKO
|
23/6/2013
|
1.00-7.00
|
30/06/13
|
8.00-12.00
|
BUNJU
|
30/6/2013
|
1.00-7.00
|
07/07/13
|
1.00-7.00
|
KISANGA
|
19/5/2013
|
1.00-7.00
|
26/05/13
|
8.00-12.00
|
MADALA
|
09/6/2013
|
1.00-7.00
|
17/06/13
|
8.00-12.00
|
MBWENI
|
26/5/2013
|
1.00-7.00
|
02/06/13
|
8.00-12.00
|
TEGETA
|
16/6/2013
|
1.00-7.00
|
23/06/13
|
8.00-12.00
|
BARAZA-MTAA
|
02/6/2013
|
3.00-8.00
|
HAKUNA
|
HAKUNA
|
Ahsanteni na Mungu
Awabariki!!
Post a Comment