TEGETA SDA

TEGETA SDA

SABATO MCHANA 10.2.2018

Mwinjilisti/Dk Robert Nyasebwa akitoa somo la mchana.

SOMO: MUZIKI WA INJILI NI UPI?
  Dk Nyasebwa alianza kwa kuelezea dhamira ya muziki katika kanisa ambapo alisema kuwa muziki husaidia katika kukua kiroho,huonyesha shukrani kwa mungu,muziki ni sanaa nzuri,muziki ni wakala wa ujenzi wa tabia vile vile mungu uliwekwa kwa kusudi la mambo matakatifu.

  vile vile alimalizia kwa kuongezea mambo ya kuepuka ambayo ni kuepuka nyimbo zisizo na maana,pamoja na kuepuka nymbo zisizo na utukufu wa mungu
  mwishoni alimalizia kwa kusema kuwa kuimba katika sehemu za dini ni ibada kama maombi.

No comments

Powered by Blogger.