SABATO YA TAREHE 10.2.2018
Mchungaji wa mtaa wa tegeta Mchungaji Steven Letta akitoa hubiri katika sabato ya tarehe 10.2.2018
SOMO:USIOGOPE MUNGU ATAKUSAIDIA
FUNGU:HESABU 13:17-27
Katika sabato ya leo mchungaji Steven Letta amekumbusha waumini ya kwamba binadamu hatutakiwi kumuinua shetani kwa sababu kazi ya shetani ni kukatisha tamaa vile vile alisisitiza swala la imani kwa sababu imani ndiyo msingi mkuu katika ibada.
Alimalizia kwa kutoa rai kwa watu kuto kukata tamaa kwa sababu ya changamoto mbali mbali za kimaisha hivyo aliwasihi waumini ''wasiogope mungu yupo''
Post a Comment