MATANGAZO YA KANISA LEO 10 FEBRUARI 2018
KANISA LA WAADVENTISTA
WA SABATO TEGETA
P.O.BOX
66707 DAR ES SALAAM
TANZANIA
MATANGAZO YA
KANISA
TAREHE 10/02/2018
Ratiba ya vipindi vya Leo
Saa
02.00 ~ 03.00 Darasa la Waalimu
Saa
03.00 ~ 03.15 Nyimbo za Kikristo
Saa
03.15 ~ 04.40 Shule ya Sabato
Saa
04.40 ~ 04.50 Huduma za Washiriki
Saa
04.50 ~ 05.00 Matangazo ya Kanisa
Saa
05.00 ~ 06.30 Ibada Kuu
Saa
07.00 ~ 08.00 Mapumziko
Saa
08.00 ~ 10.00 Somo Maalumu
Saa 10.00
~ 12.00 Kipindi cha Maidara
Saa
12.00 ~ 12.30 Kufunga Sabato
TUNAWAKARIBISHA
Wageni na Wenyeji wote katika ibada ya leo.
1. Makambi ya mtaa wa
Tegeta na Bunju yatafanyika tarehe 21 – 28/07/2018 kanisani Bunju. Goli letu la
matumizi ya kambi ni shilingi 3.5M tunaomba kila mshiriki aendelee kuchangia
shilingi elfu 25 ili kutimiza goli.
2. Mahubiri ya MAISHA
HATIMAYE yataanza leo jioni tarehe 10.02.2018 hadi 03.03.2018 jijini Mbeya. Tutakuwa
na vituo 4 navyo ni: Tegeta Nyuki Stendi, Mkanada, Salasala na Kanisani. Mahubiri
yataanza saa 12 jioni hadi saa 2 usiku. Ving’amuzi vitakavyotumika ni TING na
Continental. Wasimamizi wa vituo ni kama ifuatavyo:
- Kanisani: Mwinjilisti
Ismail Mbondo na Mzee Amosi Obadia
- Nyuki Stendi:
wainjilisti; Challo Zacharia, Hekima Lawi, Hamisi Husein na Lemi Mogasa,
Mzee Tenga Bill Tenga, Mzee Robert Nyasebwa na Mzee Stanley Kilave
- Mkanada:
Wainjilisti; Christopher Japhet na Anania Barikulije, na Mzee Ombeni Elly
- Salasala: Wainjilisti:
William Dede na Raymond Leopard, kiongozi wa Atape Thomas Odilla na Mzee
Maingu Jandwa.
Wiki
ya kwanza Kwaya ya kanisa itahudumu kituo cha Nyuki, Glory land Singers-
Mkanada na Rise and Shine- Salasala.
3. Juma la
kaya na familia limehairishwa mpaka hapo litakapotangazwa tena.
4. Viongozi
wa vijana watapita kwa mshiriki mmoja
mmoja kuomba mchango wa chakula cha kambi la watafuta njia na mabalozi
litakalofanyika Kilosa mwezi wa 6, kwa kutumia kadi maalum za mchango. Wapeni ushirikiano.
5. Zoezi la kupiga
picha ili kukamilisha usajili wa washiriki katika mfumo wa kutunza kumbukumbu
za washiriki ACMS litaendelea leo mchana. Tunaomba mtoe ushirikiano ili
kumaliza zoezi hili.
6.
VIKAO
i. Kesho tarehe 11/02/2018 kutakuwa na kikao cha mkutano
mkuu wa kanisa kuanzia saa 12:30 hadi saa 2 asubuhi, mkutano huu utatanguliwa
na maombi yatakayoanza saa 12:00 asubuhi, yataendeshwa na Mch. Stephen Letta.
Washiriki mnaalikwa kuhudhuria kwa
wakati. Kwaya na Vikundi vyote vihudhurie.
ii. Leo
Jumamosi 10.02.2018 saa 8 mchana kutakuwa na kikao cha Kanda cha Viongozi wa
Vijana hapa kanisani Tegeta. Wahusika ni Viongozi wa vijana wote makanisani.
7.
UNUNUZI
WA KIWANJA
Tumekamilisha
ununuzi wa kiwanja awamu ya kwanza na ya pili jumla ya sh. 65M, sasa tunaanza
kuchangia awamu ya tatu, sh. 35M, mwisho
wa kuchangia ni mwisho wa Mwezi wa 4. Tuendelee kuchangia kupitia akaunti
zifuatazo.
NBC BANK
JINA: KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO
NAMBA:
086103000573
M-PESA
JINA: TEGETA SDA CHURCH
NAMBA: 0752 680 875
8.
UHAMISHO
(inasomwa mara ya Kwanza)
S/N
|
Jina
|
Anakotoka
|
Kwenda/Kuja
|
1
|
Elisha Nkaina
|
Tegeta
|
University
|
2
|
Anna Peter Salewa
|
Tegeta
|
Karakata
|
3
|
Otieno Otuoma
|
Tegeta
|
Kibiti
|
4
|
Dina George
|
Tegeta
|
Mbezi Beach
|
5
|
Paul Mang’ala
|
Ntuzu
|
Tegeta
|
9. Viongozi
waliochaguliwa na Baraza la kanisa kujaza nafasi zilizoachwa wazi:
i.
Kiongozi wa Afya: Robert Nyasebwa
10. Kamati
ya Atape: Mchungaji, Mratibu wa ATAPE, Mkuu wa huduma, Mkuu wa uwakili, Mkuu wa
mawasiliano, Mkuu wa elimu na Mkuu wa afya.
11. Leo
mchana kuanzia saa 8 hadi saa 10 kutakuwa na program maalum ya uimbaji ya kwaya
ya kanisa. Wote mnaalikwa kushiriki program hiyo, pia mtapata nafasi ya kutoa
maoni na ushauri namna ya kuboresha kwaya yetu.
12. Semina
ya idara ya wanawake itafanyika leo saa
8:30 mchana hadi saa 11:30. Kesho saa 02:00asubuhi hadi saa 07:30 mchana
kutakuwa na semina ya idara ya elimu na watoto, semina zote zitafanyika
kanisani Magomeni.
13. Wagonjwa:
Mary Kenani anaumwa, yupo Nyumbani tumtembelee na kumpa pole.
14. Tanzia:
Melvin Julius amefiwa na Mjomba wake, wamesafirisha msiba jana kuelekea
Shirati-Musoma, yeye hajasafiri, tumtembelee na kuomba naye.
Wahudumu Sabato ya Leo
Huduma
|
WAKUBWA
|
WATOTO
|
Mhubiri
|
Pr Stephen Letta
|
Loveness Mcharo
|
Mwenyekiti
|
Stanley Kilave
|
Nyabuki Musiba
|
Fungu & Ombi
|
Reuben Mbonea
|
Ellenmema Lomay
|
Zaka & Sadaka
|
Reward Elly
|
Tatu Elisha
|
Kufunga Sabato
|
Peter Makubi Machumu
|
|
Wahudumu Juma Lijalo
Huduma
|
WAKUBWA
|
WATOTO
|
Mhubiri - Sabato
|
Stanley Kilave
|
Madama Longo
|
Mwenyekiti
|
Ombeni Elly
|
Joshua Fabian
|
Fungu & Ombi
|
Shengena Raphael
|
Willington Naseeb
|
Zaka & Sadaka
|
Nehemia Wambura
|
Nicas Joshua
|
Ibada ya J’Tano
|
Pr Stephen Letta
|
|
Kufungua Sabato
|
Jonathan Mselli
|
|
Kufunga Sabato
|
Jemima Hosea
|
|
Mzee wa Zamu: Robert
Nyasebwa
Mashemasi wa zamu: Zihrwan Chikira,
Janeth Joash, Rose Fabian Paul, Emanuel Erasto, Mashauri Thomas, Regina
Jackson, Christopher Japhet, Daniel Julius
Shemasi mkuu: Elias
Kubhoja
Karani
wa zamu: Isack Webi
|
HUDUMA YA UIMBAJI
|
SABATO YA
LEO
|
SABATO
IJAYO
|
Shule ya
Sabato
|
Gloryland
Singers
|
Rise and
Shine
|
Sadaka
|
Rise and
Shine
|
Gloryland
Singers
|
Huduma
Kuu
|
Tegeta
Choir
|
Rise and
Shine
|
Kutawanyika
|
Gloryland
singers
|
Tegeta
Choir
|
Kufungua
Sabato
|
|
|
Kufunga
Sabato
|
|
|
Post a Comment