MATANGAZO YA KANISA YA SABATO YA TAREHE 17/08/2013
MATANGAZO YA KANISA: 17/08/2013
1.
Tunamshukuru na kumtukuza Mungu wetu kwa neema na mibaraka
yake, tunamshukuru kwa kutupa makambi mwaka huu. Wageni kwa wenyeji karibuni
katika kanisa la Mungu na Ibada takatifu.
2.
Tunamtukuza Mungu kwa kanisa kupata washiriki wapya
waliompokea Yesu na kubatizwa (idadi….), KUWAPOKEA.
3.
Tunamshukuru Mungu,
wana wa kike walioenda Kigali Rwanda kwenye mkutano wa Neno la Mungu wamewasili
salama. [Egla Mugeta,Tupo Makama na Upendo Maingu]
4.
Mch. J.R.Nyaibago: Kamati
za makambi, yaliyomalizika andaeni taarifa kwa ajili kuzileta katika katika
kikao cha mtaa. Kikao cha mtaa cha kawaida kwa robo kitafanyika Sept. 1,
2013 katika kanisa la madala.
5.
Leo, mchana saa 8:00, tutakuwa na washa (semina), juu ya mawasiliano,
Idara ya mawasiliano itawasilisha mada walizofundishwa huko Rombo Green View
Hotel.
6.
Tutakuwa na baraza la kanisa, kesho tarehe 18/08/2013,
wajumbe andaeni mipango na taarifa za kazi. Tuhudhurie kwa wakati.
7.
Wagonjwa: Mama Daktari Andrew …, amefanyiwa upasuaji, hospitali ya Lugalo,
tumuombee na kumtembelea ili kumfariji.
Bi Joyce /Malima Martin, anaumwa, washiriki tunombwa tumtembelee
kwake, Nyaishozi (chasimba?) na kumfariji.
8.
Tanzia: Mama Damba Omara, emefiwa na baba yake mdogo, amesafiri,
alhamisi, tumuombee safarini na kuifariji familia.
9.
Matoleo: ya sabato iliyopita ni:…………………………………….
Nyumba ya mchungaji:
·
Ahadi 9,000,000/,
·
Matoleo, 4,670,850/ (48%),
·
Baki, 4,329,150/ (52%),
Tumalizie ahadi
zetu.
10. Zamu: Mzee wa zamu; Mzee Eraga Mjuli.
Shemasi Mkuu wa zamu, Mzee Elia Kenani.
11.
Ratiba Fupi ya Wahudumu:
HUDUMA HUSIKA
|
MHUDUMU (SABATO LEO, 17/08/2013)
|
MHUDUMU (SABATO IJAYO, 24/08/2013)
|
Mhubiri
(Watoto)
|
Bi. Rahabu
Morro
|
Bi. Upendo
Maingu
|
Mhubiri (Wakubwa)
|
Mwj. Saganga Kapaya
|
Ndg. Daudi
Kubhoja
|
Mwenyekiti
|
Ndg. John
Kamuli
|
Mzee B.I.Morro
|
Fungu Kuu na Ombi
|
Mzee Elia
Kenani
|
Mzee Damba
Omara
|
Sadaka & zaka
|
Ndg. Daudi
Kubhoja
|
Ndg. Anania
Masasi
|
Kufunga Sabato
|
Ndg. Enock
Nyange
|
Mzee John
Kamuli
|
Jumatano (Asb)
|
Bi. Betty
Kerenge
|
Mzee Zihirwani
Chikira
|
Jumatano (Jioni)
|
Mzee Eraga
Mjuli
|
Ndg. Anania
Masasi
|
Kufungua Sabato
|
Ndg. Geofrey
Mpembeni
|
Ndg. Daudi
Kubhoja
|
Ahsanteni, Mungu Awabariki!
Post a Comment