MATANGAZO YA KANISA YA SABATO YA TAREHE 07/09/2013
MATANGAZO YA KANISA: 07/09/2013
1.
Tunamshukuru na kumtukuza Mungu wetu kwa neema na mibaraka
yake, Wageni kwa wenyeji karibuni katika kanisa la Mungu na Ibada takatifu.
2.
Effort yetu ya mtaa itaanza 5-19/10/013.Tafadhali
tuendelea kutoa michango yetu ili kukamilisha na kufanikisha effort hiyo.
Tutachangia 4,000,000/
3.
Kesho, tarehe 8/9/2013, saa 2:00 asubuhi mpaka saa 8:00
mchana, Mtaa wetu wa Tegeta, tutakuwa na ugeni maalumu kutoka, G.C. (Mashauri
kuu ya Kanisa), Makamu mwenza wa
mwenyekiti wa G.C. Mch. Geofrey Mbwana, atakuja kuweka jiwe la msingi la Nyumba
la Mchungaji. Tunawaalika kushiriki tukio hili muhimu.
4.
Kutakuwa na kikao cha kuandaa mahubiri katika miji
mikubwa kitakachofanyika Ilala kanisani 14/09/13 saa 9 alasiri. Tafadhali
viongozi wa huduma pamoja na wazee wanaoshugulika na idara hiyo wahudhurie bila
kukosa ni cha Muhimu sana
5.
Tuandae taarifa zote za robo ya 3 na ziletwe kwa mchungaji mwisho Tarehe 15/09/13.
Robo hii ya tatu
6.
Makongamano:
v Kutakuwa na
kambi la Vijana (Masterguide Convention), Kampala, Bugema University.
4-8/12/20013.
v Kutakuwa na
kongamano la muziki, Kampala, Bugema University. 9-15/12/20013,
Kwa maelezo zaidi kuhusu matukio haya
Ø tembeleeni,
wavuti ya divisheni: http://www.ecd.adventist.org
Ø waone Mzee wa Kanisa
wa vijana Joseph Msuya na Ndg. Isaac Webi.
Ø Vijana wote
munahimizwa kurudi mchana kwa ajili ya mafunzo ya master guide. (vipindi vya
maidara, saa 10:00)
7. Leo saa 8:00
mchana tutakuwa na kipindi cha mafundisho ya unabii, na Mwinjilisti Saganga
Kapaya. Karibuni.
8. Wagonjwa:
a. Bi Upendo Maingu anaumwa, yuko nyumani, tumtembelee
b. Bi Chiku Charles
Nyangi amepatwa na ajali ya kuangukiwa na geti (ameumia sana), Yuko nyumbani,
Bunju.
c.
Mama Laurent Masumbuko, anaumwa, alilazwa.
Ø
tuwatembelee na kuwaombea wangonjwa wote ili kuwafariji
d. Tunamshukuru
Mungu, Familia ya Ndg Alex Mafuru,
wamerudi kutoka India kwa Matibabu, Mungu atukuzwe.
9. Tanzia:
a. Familia ya
Laurent Masumbuko wamefiwa na binamu yao huko Kigoma, wamesafirisha kwenda
Arusha. Tuwatembelee na kuwafariji.
b. Familia ya
Michael Bulemo, wamefiwa na mtoto wao mchanga. Mazishi yamefanyika, alhamisi.
Tuwatembelee na kuwafariji.
10. Matoleo: ya sabato iliyopita ni:…………………………………….
11. Zamu: Mzee wa zamu; Mzee
Richard Barikesha. Shemasi Mkuu wa zamu, Mzee Elia Kenani.
12. Ratiba Fupi ya Wahudumu:
HUDUMA HUSIKA
|
MHUDUMU (SABATO LEO, 07/09/2013)
|
MHUDUMU (SABATO IJAYO, 14/09/2013)
|
Mhubiri
(Watoto)
|
Bi. Rafiki Msuya
|
Mzee R. Barikesha
|
Mhubiri (Wakubwa)
|
Mzee Damba Omara
|
Mzee B.I.Morro
|
Mwenyekiti
|
Mzee Elia Kenani
|
Mzee Zihirwani Chikira
|
Fungu Kuu na Ombi
|
Ndg. Anania Mndeme
|
Ndg. Isaac Webi
|
Sadaka & zaka
|
Ndg. Isaya Charles
|
Mwj. Edgar Kapala
|
Kufunga Sabato
|
Mama Egla Mgeta
|
|
Jumatano (Asb)
|
Mzee Eraga Mjuli
|
|
Jumatano (Jioni)
|
Mzee Eraga Mjuli
|
|
Kufungua Sabato
|
Ndg. Anania Mndeme
|
|
Ahsanteni, Mungu
Awabariki!
Post a Comment