TEGETA SDA

TEGETA SDA

MATANGAZO YA KANISA YA SABATO YA 20/07/2013

1.      Tunamshukuru na kumtukuza Mungu wetu kwa neema na mibaraka yake, wageni kwa wenyeji karibuni katika kanisa la Mungu na Ibada takatifu.

2.      a) Makambi ya mtaa ni 28/07—03/08, michango bado haijatimia, tumechangia 3,555,560/=, bado 2,032,440/= goli ni, 5,588,000/=. Tunawahimiza kutoa,
b) Goli la sadaka ya kambi la mtaa ni Milioni 6, goli la Kanisa letu Tegeta ni 2,640,000/=, tujiandae kumtolea Bwana kwa moyo wote.

c)  Kutakuwa na ubatizo wakati wa makambi, wanaohitaji ubatizo waonane na wazee wa kanisa kwa ajili ya maandalizi.

d)  kutakuwa na ubarikio wa watoto sabato ya 03/08 katika makamabi, cheti ni 500/= onana na karani wa kanisa Anania Masasi kwa maandalizi.

e) Wale walioajiriwa jitahidini kuomba ruhusa mapema ili musikose siku kuu hii ya Kiroho. Wakuu wa idara tumieni muda wa vipindi vya jioni kuwaandaa watu kwa ajili ya makambi.Wahudumu wetu ni:
v  Mch. David Mbaga – toka Mazense
v  Mch. Charles Mdambi -- Chaplain
v  Mch. Joshua Kianzi-- toka Mbezi
3.      Tutakuwa na baraza la dharura leo mchana, saa 9:00, tafadhali wajumbe tuhudhurie.
4.      Kesho, 21/07, saa 3:00-5:00 asubuhi, kutakuwa na baraza la mtaa la dharura kule Bunju kanisani, wajumbe tuhudhurie.
5.      Tanzia: Familia ya Ndg. George Kisandu, wamefiwa na baba yao mdogo, tuwatembelee na kuwafariji.
6.      Sabato ya leo ni ya Meza ya Bwana, karibuni tushiriki kwa pamoja.
7.      Mzee wa zamu; Eraga Mjuli. Shemasi Mkuu wa zamu, Elia Kenani.

8.      Uhamisho: Mara ya pili.
S/N
Jina
Kutoka
Kwenda
1
Samweli Augustino
Mabibo SDA
Tegeta SDA
2
Neema S. Nyange
Mabibo SDA
Tegeta SDA
3
Agnes Yusto Balozi
Bukoba SDA
Tegeta SDA
4
Neema Paulo
Manzese SDA
Tegeta SDA
5
Meshack Sarota
Isenye SDA
Tegeta SDA
9.      Ratiba Fupi ya Wahudumu:
HUDUMA HUSIKA
MHUDUMU (SABATO LEO, 20/07/2013)
MHUDUMU (SABATO IJAYO, 27/07/2013)
Mhubiri
(Watoto)
Ndg. Daudi Kubhoja
Mama Rahabu Morro
Mhubiri (Wakubwa)
Mzee Saganga Kapaya
Mzee Richard Barikesha
Mwenyekiti
Mzee Joseph Msuya
Ndg. Peter Nikombolwe
Fungu Kuu na Ombi
Ndg. Geofrey Mpembeni
Ndg. Joseph Kaleb
Sadaka & zaka
Ndg. Anania Masasi
Ndg. Adam Msaku
Kufunga Sabato
Mzee Zihirwani Chikira
Mzee B.I.Morro
Jumatano (Asb)
Ndg. Enock Nyange
MAKAMBI
Jumatano (Jioni)
Mama Kemibara
MAKAMBI
Kufungua Sabato
Mwj. Mama Makeremo
MAKAMBI

Ahsanteni, Mungu Awabariki!

No comments

Powered by Blogger.