MATANGAZO YA KANISA 25 MACHI 2017
KANISA
LA WAADVENTISTA WASABATO TEGETA
P.O.BOX 66707 DAR ES SALAAM
TANZANIA
MATANGAZO YA KANISA
TAREHE 25/03/2017
TUNAWAKARIBISHA Wageni na Wenyeji wote katika ibada takatifu ya
leo. Karibuni sana na Mwenyezi Mungu awabariki.
1)
Effort ya nyumba kwa nyumba iliyokuwa inafanyika katika kundi letu kule Ilindi Dodoma kwa
ushirikiano wa wanafunzi wa UDOM na mwinjilisti wetu ilihitimishwa sabato
iliyopita na watu 12 wamebatizwa.
2)
Juma la maombi la vijana linahitimishwa leo. Masomo yalikuwa
yakiendeshwa na mwinjilisti Moffat.
3)
Leo ni siku maalum ya kuchangia ujenzi wa chuo cha udaktari
Rwanda, kila mshiriki anaombwa kuchangia sh 5,000 na kuendelea.
4)
Leo mchana kutakuwa na ubatizo hapa kanisani.
5)
Sabato ijayo tarehe 1/4/2017 ni maalumu kwa ajili ya meza ya Bwana
wote tujiandae kushiriki huduma hii muhimu.
6)
Kutakuwa na effort ya nyumba kwa nyumba itakayoanza tarehe 2 - 16/04/2017,
wakuu wote wa idara na wainjilisti wote mnaombwa kubaki baada ya ibada muonane na mkuu wa
huduma.
7)
Kutakuwa na semina kuhusu ushuhudiaji hapa kanisani Tarehe
30/03/2017 hadi tarehe 1/4/2017 kuanzia
saa 10:30 - 12:30 jioni ikiwa ni maandalizi ya effort hiyo. Wote mnaalikwa
kuhudhuria.
8)
Mashemasi wote wabaki baada ya ibada waonane na shemasi mkuu.
9)
Mkutano maalum wa Uwakili unaanza leo tarehe 25 - 27/03/2017
kanisani Manzese. Wahusika ni kiongozi wa Uwakili na wazee wa kanisa,
Wachungaji, Kwaya ya kanisa, kwaya ya vijana na washiriki wote mnaombwa
kuhudhuria mkutano huu.
10) Kesho tarehe 26/03/2017
kutakuwa na maonesho ya vitabu (open day) kuanzia saa 3:00 asubuhi. Hapa Dar es
Salaam kituo kitakuwa katika kanisa la Magomeni
na Mikocheni.
11) Kujaza nafasi wazi.
1.
Reuben Mbonea - Mkaguzi wa ndani
1.
Tenga B. Tenga - Kiongozi wa AMO
12) Makambi ya Mtaa
yatafanyika tarehe 10 - 16/09/2017 kule Tegeta Beach. Wafuatao wamechaguliwa
katika kamati mbalimbali.
1.
MAWASILIANO
1.
Isack Webi - M/Kiti
1.
Sauli Gwahula
1.
Junior Chikira
1.
Joshua Fabian
2.
VITI NA MAHEMA
1.
Anania mndeme - M/Kiti
1.
Hekima Lawi
1.
Fred Maiga
3.WATOTO
1.
Magere Mauma - M/Kiri
1.
Upendo Maingu
1.
Esau Msyata.
Kamati zote andaeni bajeti zenu mziwasilishe kwa katibu wa mtaa
fred Maiga.
13) Kwenye ubao wa matangazo
kuna orodha ya washiriki wasiofahamika walipo, wote mnaombwa kuangalia majina
yenu pale, kama jina lako lipo nenda kaonane na karani wa kanisa au mjumbe
yeyote kwenye kamati ya kusafisha kitabu cha washiriki.
14) Wenyeviti wa makundi ya
kuchachangia mfuko wa maendeleo ya kanisa tafadhali wasilianeni wa watu wenu
ili kuweka mikakati ya kutimiza magoli yenu. Sabato ijayo tutakuwa na kikao cha
pamoja na kamati ya bajeti saa 10; 00 jioni.
15) UHAMISHO(Unasomwa mara
ya kwanza)
S/N
|
JINA LA MSHIRIKI
|
ANAKOTOKA
|
KWENDA/KUJA
|
1
|
Joshua Fabian
|
UDOM WEST
|
Tegeta
|
2
|
Suzana Philemon Kondi
|
Mbezi Juu
|
Tegeta SDA
|
3
|
Prisca Kilongo
|
Tegeta SDA
|
Mbezi Juu
|
4
|
Ismail Mwambo
|
Tegeta SDA
|
Luguruni
|
5
|
Faraji Nyizigiye
|
Tegeta SDA
|
Miande
|
6
|
Magreth Stephano
|
Tegeta SDA
|
Mivumoni Central
|
7
|
Happy Amos
|
Tegeta SDA
|
Mtwara SDA
|
16) KUPOKEA WABATIZWA Waliobatizwa kwenye mkutano uliofanyika nyuki
ambao hawajapokelewa na kupewa walezi.
TANZIA: Mzee wa kanisa Maingu Jandwa amefiwa mama yake mdogo
wamesafiri kwenda Musoma tuwakumbuke katika maombi
Wahudumu
Sabato ya Leo
Huduma
|
WAKUBWA
|
WATOTO
|
Mhubiri
|
Mwinjilisti Frighton
Mofat
|
Emmanuel Moffat
|
Mwenyekiti
|
Magere Mauma
|
Simon Gwahula
|
Fungu & Ombi
|
Stanley Kilave
|
Dorcas Denis
|
Zaka & Sadaka
|
Jovan Damba
|
Josephina Jacob
|
Kufunga Sabato
|
Hamis Mauma
|
|
Wahudumu
Juma Lijalo
Huduma
|
WAKUBWA
|
WATOTO
|
Mhubiri - Sabato
|
Pr Stephen Letta
|
|
Mwenyekiti
|
Elias Kuboja
|
|
Fungu & Ombi
|
Damba Omara
|
|
Zaka & Sadaka
|
Keffas Lisso
|
|
Ibada ya J'Tano
|
Mch. Stephen Letta
|
|
Kufungua Sabato
|
John Kamuli
|
|
Kufunga Sabato
|
Junior Chikira
|
|
Mzee
wa zamu: Ombeni Elly.
Mashemasi
wa Zamu: Hekima Lawi, Patron Agripa, Reuben Mbonea, Magreth Sikira, Flora Yuda,
Nafue Mbano na Rehema Mndeme.
Shemasi
Mkuu - Amos Obadiah.
Karani
wa zamu - Challo Zacharia.
HUDUMA YA UIMBAJI
|
25.03.2017
|
25 - 04/4.2017
|
Shule
ya Sabato
|
Rise and Shine
|
|
Sadaka
|
Glory Land Singers
|
|
Huduma
Kuu
|
Kwaya ya Kanisa
|
|
Kutawanyika
|
Rise and Shine
|
|
Kufungua Sabato
|
|
|
Kufunga Sabato
|
Kwaya ya Kanisa
|
|
Asante kiongozi kuikimbuka blog yetu. Imesinzia zaidi ya miaka 3.
ReplyDeleteUbarikiwe